Maranatha Global

The Spirit and the bride say, “Come!” – Rev. 22:17

31
Jul

CB007173MAANDIKO

1 timotheo 5:22 Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala ushizishiki zambi za watu wengine. Ujilinde nafsi yako uwe safi

2 timotheo 1:6
Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu, iliyo ndani mwako kwakuwekewa mikono yangu.

1. Kuwekeya mikono ( kunyoosha mkono kichwani mwa mtu) ili kuwa moja ya njia wapo ya kumu kabizi mutu madaraka, ao mamulaka. , Baraka, ao upako katika agano la kale. (mufano: Baraka za ukoo, kama yusufu akiwabariki wanae, pia Baraka za musa (” bwana afanye uso wake kuku angazia…ile ambayo ili angazia Mitume). Ilikuwa pia moja wapo ya njia iliyo tumiwa ku zi bebesha wa nyama zambi zetu mbuzi inayo chukuwa zambi zetu naku fukuzwa wenda jangwani. Walawi 1 6. una weza pia kutafuta mifano mingine katika agano la kale.

continue

Tags : , , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog