Swahili (called Kiswahili locally) is the primary language of Kenya and Tanzania, and is widely spoken in Uganda, western Congo (DRC), Burundi, Somalia, and Rwanda. There are more than 50 million speakers of Swahili in Africa.
«UNIFUNGUE MACHO YANGU NIYATAZAME MAAJABU YATOKAYO KATIKA SHERIA YAKO»
ZABURI 119:17-19
17: Umtendee mtumishi wako ukarimu
Nipate kuishi, name nitalitii - Neno lako.
18: Unifungue macho yangu niyatazame
Maajabu yatokaye katika – Sheria yako
19: Mimi ni mgeni katika inchi, usinifiche maagizo yako.
–Zaburi 119:17-19
ZABURI 119 iko nyimbo ndefu kuusu neon la Mungu, sheria yake, maagizo yake, unufunuo wake ndani ya maisha yetu, na neon lililo hai yaani (YESU). Kila aya inafundisha waamini kuusu namna gani Mungu alituandaa kwa ku jadiliana na maneno yake na kuigeuza yetu ndani ya maisha yetu.
BARAGUMU YA INE
7. Malaika wa kwanza akapiga Baragumu, kukawa nvua ya mawe na moto vilivyotangamana na damu, vikatupwa juu ya inchi, theluthi ya nchi ikateketea na theluti ya miti ikateketea na majani mabichi yote yakateketea.
8. Malaika wa pili akapiga Baragumuna kitu, mfano wa milima, mukubwa uwakao moto kikatupwa katika bahari, theluthi ya baari ikawa damu.
9. Wakafa, theluthi ya viumbe vilivyomo baharini, vyenye uhai ; theluthi ya merikebu zikaaribuka.
10. Malaika wa tatu akapiga Baragumu Nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, ilivyo kuwa ikawaka kama ta a ikaanguka juu ya theluthi ya mito na juu ya chemchem za maji.
11. Na jina lake lile Nyota likaitwa pakanga na wanadamu wakafa kwa maji hayo kwa kuwa yalitiwa machungu.
12. Malaika wa ine akapiga Baragumu, teluthi ya jua ikapigwa na teluti ya mwezi na theluthi ya nyota, ili kwamba ile theluthi itiwe giza mchana usiangaze theluthi yake, wala usiku vivyo hivyo.
13. Kisha nikaona nikasikia tai umoja akiruka katika mbingu akisema kwa sauti kuu ole ole ole, wao wakaao juu ya inchi ! Kwa sababu ya sauti zisaliazo za baragumu za malaika wa tatu walio tayari kupiga.
[Zaïre Swahili]
ZABURI 119:1-8 « ASAFI »
KIINGILIO
I Samweli 22:1-2
Daudi akaondoka kath na kutorokea vikingo vya Adulam. Wakati ndugu zake na watu wa nyumba ya babake waliposikia haya walimwendea hapo chini, 2 Wale wote haliokuwa na huzuni ama na deni ama kutorindhika wote walikusanyika na kumzunguka, naye akawa, kiongozi wao, karibu watu mia nne wakiwa pamoja naye.
Ufalme na Daudi ulianza na watu 400 ambao walikusanyika katika bonde la Adulamu. Hawa wachache wafuasi walikuwa wa msingi katika jeshi lake- viongozi waaminifu wa miaka yao (kwa hadithi kuhusu wanaume walioandaliwa na Daudi kama kapteni- katika miaka yao ya awali pamoja naye katika Adulamu Angalia 2 Samweli: 25:13, Mambo ya nyakati 11:15).
1 Samweli: 16:6-10 - Walipofika, Samweli akamwona Eliabu naye akafikiri, “Hakika mpakwa mafuta wa BWANA anasimama hapa mbele za BWANA. ” Lakini BWANA akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. BWANA hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini BWANA hutazama moyoni. Kisha Yese akamwita Abinadabu na kumpitisha mbele ya Samweli. Lakini Samweli akasema, “Hata huyu BWANA hakumchagua. ” Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu BWANA hakumchagua. ” Yese alikuwa na wana saba aliowapitisha mbele ya Samweli, lakini Samweli akamwambia, “BWANA hajawachagua hawa. ”
Katika hadithi hii nabii Samweli alimtembelea Yese, mwanainchi wa Bethelehemu, kutia mafuta badhi ya mojawapo wa wana wake kama mfalme Bwana alimtuma pale, lakini hakumwambia mapema mwana yupi angemchagua. Yese alifuata mila za wakati huo – alianda karamu kwa mgeni wake wa heshima (Nabii) na kuruhusu watoto wake kupita mbele zake moja baada ya mwengine, akianza na mukubwa. Kama njia ya kuwatambulisha kwa mtu wa Mungu inaonekana hakuna yeyote aliyejua lakini Samweli sababu ya yeye kuwa pale. Hata wanabii hufanya makosa katika njia yao ya kuwaza hii ndio sababu tuna muliza Bwana kuhusu kila kitu. Nabii Samueli alitazama kwa mwana wa kwanza na akafikiria alionekana kana mfalme na ilibidi Mungu kumrekebisha. Mungu hukataa wana wazaliwa wa kwanza kwa sababu Bwana hangali vitu ambavyo mtu hudhamini Bwana hutazama kwa moyo. Mwanadamu huangalia kwa nje. Hawa ndugu halijiunga na Daudi, wakati alikuwa anamtorokea. Saulo, lakini katika wakati huu na hili hadithi wako bado kwa mapishano pamoja na yeye. Ujumbe huu unatupatia majina matatu ya wana hawa. Bwana anatupa somo katika hawa ndugu watatu ambao majina yao yako hapa chini.
DAUDI NA WOLIATHI (SOMA FUU YA NJIA YA REHEMA)
I Samweli 17
4.shuje lawe jina vowathi,ahetuka kathi alitona kwenya kambi ya wajilisti. Aukiwe na livefu wa siti tisi 5 Alibuwa na vofia ya shaba bwa vaichna chane na woti lange michoro ya shaba ya Unto wa shekeli elfo tono. 6 Miguuni achira shaba ye sokisi na mshale wwa shaba Ulikuma beguni mwana. 7. Mshale wano uwkuwakama fimbo na uwto wane ulikuna shekeli mia sita mbaba na uwto wane ulikuna ahekeli mia sita mbeba ngano alikuna mbale yake.
Wakati Daudi alivumbena na koliathi,alivumbena na mtu aliyevuwa mlebne, mwenge nguvu na aliye na ufuzi koliathi alikuwa na wfaa vuliyo bora,kutovama na mbazemu wa domia.
“Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka katika kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri mojaa. Alikuwa na chepeo ya shaba kichwani mwake na alivaa dirii ya shaba kifuani mwake yenye uzito wa shekeli elfu tanob. Miguuni mwake alivaa mabamba ya shaba na mkuki wa shaba mkononi mwake. Mpini wa huo mkuki ulikuwa kama mti wa mfumaji na ncha ya chuma yake ilikuwa na uzito wa shekeli mia sitac. Mbeba ngao wake alitangulia mbele yake.”
MWANZO 4:3-7 - Kwa huo wakati kaini alileta mazao ya Matunda kutoka shambani kama sadaka kwa BWANA. Lakini Abeli akaleta mnyama mnono kutoka kwa wazaliwa wa kwanza wa zizi lake. Bwana akatazama na kibali kwa Abeli na sadaka yake, lakini, kwa Kaini na sadaka yake hakuikubali. Kwa hivyo Kaini akawa na hasira na kufunjika kwa uso wake.
Ndipo Bwana akasema kwa Kaini, “Kwa nini una hasira? Kwa nini uso wako umefunjika? Ukifanya kilicho chema hautakubaliwa? Lakini usipotenda lililo njema, dhambi inanyatonyota mlangoni mwako, tama yeke ni kukutega, lakini la zima uitawale.”
Ubeti huu hutupa mfano wa kwanza wa watu wakimuabudu Bwana kwakutoa sadaka. Hapa katika mtazamo wa kwanzo wa sadaka zikiletwa kwa Mungu, Mungu mwenyewe anaweka wazi kuwa yeye atakubali tu aina moja ya dhabihu na si nyingine. Ilikuwa ya maana kwa Bwana kuanzisha haraka kwa mwanazo, kile alichohitachi katika dhabihu mwanadamu angetoa kwake.
Waebrania 10:19-22 – “Basi ndugu, kwa damu ya Yesu tunapewa moyo thabiti wa kuingia mahali patakatifu. Yeye ametufungulia njia mpya, njia ya uzima, kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake mwenyewe. Basi, tunaye kuhani maarufu aliye na mamlaka juu ya nyumba ya Mungu. Kwa hiyo tumkaribie Mungu kwa moyo mnyofu na imani timilifu, kwa mioyo iliyotakaswa kutokana na dhamiri mbaya, na kwa miili iliosafishwa kwa maji safi.”
Damu ya Yesu hutuezesha sisi kuingia uweponi mwa Bwana kila siku “Patakatifu” haimanishi eneo ambalo linaweza kutambuliwa kihisia kama vile ilivyokuwa wakati wa Agano la kale – wasomi wengi wanaamini kwamba kitabu cha waebrania kiliambatana pamoja wakati wa jeshi la warumi walipoangusha hekalu la wayahudi kule Yerusalem. Ukurasa huu huzungumzia patakatifu pa watakatifu katika umilele, mahali patakatifu halisi ambapo Bwana hukaa katika enzi yake mbinguni. Bali Bwana ni” Omnipresent” yeye yuko kila mahali katika ulimwengu pote kwa wakati moja- kwa hivyo tunaweza kuwa katika uwepo wa Mungu licha ya mahali tuliko (Angalia Zaburi: 139:5-10). Tunaingia patakatifu tunapo jiunganisha na uwepo wa Mungu, tunapoingia katika ushilika ama kuwasiliana nay eye. Ni wakati wa kipekee wa siri pamoja na muumbaji na mwokozi.
1 Wakorintho 11:23-26
Maana mimi nilipokea kwa Bwana yale maagizo niliyowachieni kwamba, usiku ule Bwana Yesu aliotolewa, alituwa mkate, akamshukuru Mungu, akaumega, akasema: “Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu, fanyeni hivi kwa kunikumbuka. “Vivyo hivyo, baada ya kula, akatwaa kikombe, akeasima. “Hiki ni kikombe cha agano jipya linalothibitishwa kwa damu yangu. Fanyeni, hivi kila mnapokunywa, kwa kunikumbuka? Maana kila mnapokula mkate huu na kunywa kikombe hiki mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja.
Utangulizi: Yesu alitumia kikombe katika karamu ya Bwana kutufundisha kuhusu uhalisi wa kiroho wa damu yake ambayo ingetuletea wokovu. Kwa kuwauliza wanafunzi kukunywa kwa kikombe ilionyesha kuhusika manufaa ya kifo cha Yesu kwetu sisi. (Angalia Matt: 26:27, Yohana: 6:53-56; 1 Wakorith: 10:16). Kama vile mzabibu ulikamuliwa kutengeneza maji wangekunywa, Yesu alipondwa kupitia kifo chake pale msalabani, na damu aliyomwage hutuletea uzima leo.
Walawi: 17:11-12 - Kwa maana uhai wa kiumbe uko kwa damu, nami nimewapatia nyinyi kufanya upatanisho kwa nyinyi kwa jukwa, ni damu inayofanya upatanisho wa uhai wa mtu. Kwa hivyo, ninasema kwa wa- Israeli “Hakuna yeyote kwenu atakae kula damu, ama yeyote aliye mgeni kwenu ale damu”.
Tumepokea maisha mapya- uzima wa milele kupitia kwa Yesu kristo kwa sababu ya damu aliyotumuagia sisi. Damu ya Yesu hutuletea sisi upatanishi na utakaso wa dhambi (angalia 1 Yohana 1:7) . Wakristo wengi hawaelewi hili, inatupasa kuelewa kitu juu ya dhabihu ya kristo kwa ajili ya dhambi zetu ule wakati tuligeuka na kupokea uhuru. Kutokana na mtazamo wa Mungu, ili kuwa mhimu kutufindisha mpango wa wokovu na vielelezo vya dhabihu ya Yesu kupita sadaka zote za wanyama ziliizoelezwa katika Agano la kale. Sadaka hizi zote zilielekeza kwa kifo cha kristo pale msalabani na hiyo ndiyo sababu sadaka za wanyama hazifai kwa sababu Yesu alitufilia, kama mwana wa Mungu, yeye ni dhabihu kamili, mwanakondoo wa Mungu. Leo tunaweza kujifunza dhabihu na matimizo katika Agano la kale kupokea kuelewa zaidi kuhusu damu ya Yesu.