Kleros Ministries

formerly Maranatha Global

Kiswahili

Swahili (called Kiswahili locally) is the primary language of Kenya and Tanzania, and is widely spoken in Uganda, western Congo (DRC), Burundi, Somalia, and Rwanda. There are more than 50 million speakers of Swahili in Africa.

25
Nov

kenya_africaKUNENA KINYUME NA MUNGU    MALAKI 3:14-17

Malaki 3:14-17

“Mmesema, kumtumikia Mungu hakuna faida; na, tumepata faida gani kwa kuyashika maagizo yake, na kwa kwenda kwa huzuni mbele za Bwana wa majeshi? Na sasa twasema ya kwamba mwenye kiburi ndio walio heri: naam watendao uovu ndio wajengwao : naam wamjaribio Mungu ndio waponywao”

“Ndipo wale waliomcha Bwana waliposemezana wao kwa wao. Naye Bwana akasikiliza, akasikia, na kitabu cha ukumbusho kikaandikwa mbele zake, kwa ajili ya hao waliomcha Bwana, na kulitafakari jina lake.”

“Nao watakuwa wangu, asema Bwana wa majeshi. Katika siku ile niifanyayo, naam, watakuwa hazina yangu hasa; nami nitawachilia, kama vile mtu amwaachiliavyo mwanawe mwenyewe amtumikiaye.”

continue

Tags : , , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
25
Oct

swahili-mapUFUNUO WA KIBINAFSI NA MAANDIKO  Zaburi  119:133

“Uzielekeze hatua zangu kwa neno lako, uovu usije ukanimiliki.”

Kama wakristo, tunapokea ufunuo katika njia mbili: Kwa Biblia na ufunuo unaendelea kupitia kwa roho mtakatifu. Ufunuo huu wa aina mbili husaidiana. Jinsi vile Biblia inarudia kufundisha kwamba Bwana atanena nasi na kutuongoza kupitia kwa roho mtakatifu, na Roho kila wakati hutazamisha ndani katika neno.

continue

Tags : , , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
21
Oct

httpmapsof.netAfricastatic-mapspngswahiliNITAKWENDA MBIO KATIKA NJIA YA MAAGIZO YAKO (ZABURI 119:32)

[I RUN IN THE PATH OF YOUR COMMAND PS 119:32]

“Nitakwenda mbio katika njia ya maagizo yako, mtakapo nikunjua moyo wangu. ”

Nitakwenda mbio katika njia- Ubeti huu unafundisha kuhusu mapito au njia ambayo inatakikana twende mbio.  Neno la mungu lina toa mkondo wa maisha yetu, na tunasonga kwa utaratibu ambayo hufanya maisha ya kiroho kukuwa kwa haraka.  kutumikia mungu sio  kiajali au kitu cha mziko.  haiwezi kutufurusha nyuma kwa maisha.  Ila inatufanya kufikiria lengo lengo ambalo mungu alituumba tuwe kama tutaishi kwa kutii neon lake.  badala ya kufikiria kanuni za bibilia kama mzuvuvu wa sheria ambazo hatustahili kuvunja, inatakikana tukafikirie kana kwamba  ni vikezi au alama ya safari tunayofuata maishani mwetu.

continue

Tags : , , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
19
Oct

maeneo_penye_wasemaji_wa_kiswahiliYesu, Bendera Ya Mataifa – Isaya 11:6-11

Mbwa – Mwitu atakaa pamoja na mwanakondoo na chui atalala pamoja na mwanambuzi. Ndama na mwanasimba na kimono watakuwa pamoja, na mtoto mdogo atawaongoza.

continue

Tags : , , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
19
Oct

swahili-mapSEHEMU SABA ZA ROHO WA MUNGU (ISA 11:1-3)

“Basi litatoka chipikizi katika shina la yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda.

Na roho ya Bwana atakaa juu yake rohoya hekima na ufahamu, roho ya ushauri na uweza, roho ya maarifa nay a kuucha Bwana.

Na furaya yake itakuwa katika kuucha Bwana, wala hatahukumu kwa kuyapata ayaonayo kwa macho yake wala haonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake”

Ubeti huu wa Isaiah 11 ni unabii kuhusu yesu kristo, uliandikwa Kama miaka 700 kabla yeye kuzaliwa. Yesu ni chipukizi, ama tawi, anaeishi kutoka taifa la Israeli (‘shina la yese”). Unabii mwingine humuita yesu “Tawi” “chipukizi”, ama mizizi (tazama Zaburi 80:15, ” ISA 4:2, Isa 53:2, Zakaria 3:8, Zakaria 6:12, Wamini 11:16-18, Warumi 15:12, Ufunuo 5:5, Ufunuo 22:6)yeye ni tokezo la maisha mapya.)

continue

Tags : , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
18
Aug

maeneo_penye_wasemaji_wa_kiswahili«UNIFUNGUE MACHO YANGU NIYATAZAME MAAJABU YATOKAYO KATIKA SHERIA YAKO»

ZABURI 119:17-19

17: Umtendee mtumishi wako ukarimu

Nipate kuishi, name nitalitii  - Neno lako.

18: Unifungue macho yangu niyatazame

Maajabu yatokaye katika – Sheria yako

19: Mimi ni mgeni katika inchi, usinifiche maagizo yako.

–Zaburi 119:17-19

ZABURI 119 iko nyimbo ndefu kuusu neon la Mungu, sheria yake, maagizo yake, unufunuo wake ndani ya maisha yetu, na neon lililo hai yaani (YESU). Kila aya inafundisha waamini kuusu namna gani Mungu alituandaa kwa ku jadiliana na maneno yake na kuigeuza yetu ndani ya maisha yetu.

continue

Tags : , , , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
6
Jul

maeneo_penye_wasemaji_wa_kiswahiliBARAGUMU YA INE

7. Malaika wa kwanza akapiga Baragumu, kukawa nvua ya mawe na moto vilivyotangamana na damu, vikatupwa juu ya inchi, theluthi ya nchi ikateketea na theluti ya miti ikateketea na majani mabichi yote yakateketea.

8. Malaika wa pili akapiga Baragumuna kitu, mfano wa milima, mukubwa uwakao moto kikatupwa katika bahari, theluthi ya baari ikawa damu.

9. Wakafa, theluthi ya viumbe vilivyomo baharini, vyenye uhai ; theluthi ya merikebu zikaaribuka.

10. Malaika wa tatu akapiga Baragumu Nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, ilivyo kuwa ikawaka kama ta a ikaanguka juu ya theluthi ya mito na juu ya chemchem za maji.

11. Na jina lake lile Nyota likaitwa pakanga na wanadamu wakafa kwa maji hayo kwa kuwa yalitiwa machungu.

12. Malaika wa ine akapiga Baragumu, teluthi ya jua ikapigwa na teluti ya mwezi na theluthi ya nyota, ili kwamba ile theluthi itiwe giza mchana usiangaze theluthi yake, wala usiku vivyo hivyo.

13. Kisha nikaona nikasikia tai umoja akiruka katika mbingu akisema kwa sauti kuu ole ole ole, wao wakaao juu ya inchi ! Kwa sababu ya sauti zisaliazo za baragumu za malaika wa tatu walio tayari kupiga.

continue

Tags : , , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
29
Jun

maeneo_penye_wasemaji_wa_kiswahili[Zaïre Swahili]

ZABURI 119:1-8 « ASAFI »

  1. Heri walio kamili njia zao, waendàko katika sheria za Bwana,
  2. Heri wazitiio shuuda zake, wamutafutao kwa moyo wote
  3. Naam, awakutenda ubatili, wamekwenda katika njia zake
  4. Wewe umetuamuru mausia yako ili sisi tuyatii sawa
  5. Ningependa njia zangu ziwe tabiti, nizitui amri zako
  6. Ndipo sita aibika, nikiyaangalla maagizo yako yote
  7. Nitakushukuru kwa unyofu wa moyo, nikiisha kuji funza hukumu za haki yako
  8. Ni tazitii amri zako usiniache kabisa.

KIINGILIO

continue

Tags : , , , , , , , , , , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
25
Aug

maeneo_penye_wasemaji_wa_kiswahiliI Samweli 22:1-2

Daudi akaondoka kath na kutorokea vikingo vya Adulam. Wakati ndugu zake na watu wa nyumba ya babake waliposikia haya walimwendea hapo chini, 2 Wale wote haliokuwa na huzuni ama na deni ama kutorindhika wote walikusanyika na kumzunguka, naye akawa, kiongozi wao, karibu watu mia nne wakiwa pamoja naye.

Ufalme na Daudi ulianza na watu 400 ambao walikusanyika katika bonde la Adulamu. Hawa wachache wafuasi walikuwa wa msingi katika jeshi lake- viongozi waaminifu wa miaka yao (kwa hadithi kuhusu wanaume walioandaliwa na Daudi kama kapteni- katika miaka yao ya awali pamoja naye katika Adulamu Angalia 2 Samweli: 25:13, Mambo ya nyakati 11:15).

continue

Tags : , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog
25
Aug

swahili1 Samweli: 16:6-10 - Walipofika, Samweli akamwona Eliabu naye akafikiri, “Hakika mpakwa mafuta wa BWANA anasimama hapa mbele za BWANA. ” Lakini BWANA akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. BWANA hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini BWANA hutazama moyoni. Kisha Yese akamwita Abinadabu na kumpitisha mbele ya Samweli. Lakini Samweli akasema, “Hata huyu BWANA hakumchagua. ” Kisha Yese akampitisha Shama, lakini Samweli akasema, “Wala huyu BWANA hakumchagua. ” Yese alikuwa na wana saba aliowapitisha mbele ya Samweli, lakini Samweli akamwambia, “BWANA hajawachagua hawa. ”

Katika hadithi hii nabii Samweli alimtembelea Yese, mwanainchi wa Bethelehemu, kutia mafuta badhi ya mojawapo wa wana wake kama mfalme Bwana alimtuma pale, lakini hakumwambia mapema mwana yupi angemchagua. Yese alifuata mila za wakati huo – alianda karamu kwa mgeni wake wa heshima (Nabii) na kuruhusu watoto wake kupita mbele zake moja baada ya mwengine, akianza na mukubwa. Kama njia ya kuwatambulisha kwa mtu wa Mungu inaonekana hakuna yeyote aliyejua lakini Samweli sababu ya yeye kuwa pale. Hata wanabii hufanya makosa katika njia yao ya kuwaza hii ndio sababu tuna muliza Bwana kuhusu kila kitu. Nabii Samueli alitazama kwa mwana wa kwanza na akafikiria alionekana kana mfalme na ilibidi Mungu kumrekebisha. Mungu hukataa wana wazaliwa wa kwanza kwa sababu Bwana hangali vitu ambavyo mtu hudhamini Bwana hutazama kwa moyo. Mwanadamu huangalia kwa nje. Hawa ndugu halijiunga na Daudi, wakati alikuwa anamtorokea. Saulo, lakini katika wakati huu na hili hadithi wako bado kwa mapishano pamoja na yeye. Ujumbe huu unatupatia majina matatu ya wana hawa. Bwana anatupa somo katika hawa ndugu watatu ambao majina yao yako hapa chini.

continue

Tags : , , , , , , ,
Category : Kiswahili | Blog